Kuweni makini na huyu mtu

Hebu tusaidie Mr.Chahali,Mzee yupo hai au Israel ameshafunga jalada?
Kwahiyo bado unakomaa kuwa unaesema kafa ..kafa kweli??
Sio kuwa umelishwa false info au unalisha watu false info??
Nadhani umeshapata muongozo.

Cc: Mahandazi.
 
HUYO ni Tundu lisu!! LAKINI Mbona mlifeli mission!!?
 
Lisu=kijana msema sana!!
 
Mkuu utakua unamzungumzia Imran kombe aliekua Mkurugenzi wa usalama miaka ya tisini au!!?

" Hakuaminika juu ya mawasiliano Fulani, japo aliinua mikono vyuma vilipenya" Anaandika yule jamaa kwenye Uzi "KITABU KILICHOANZA KUANDIKWA KISHA KIKAACHWA KITAKAMILIKA KWA HESABU HII"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…