Kuweni makini na huyu mtu

Nasubiri kuona watu wakirudi hapa kuramba matapishi yao, ndio maana sipondi thread ya mtu na ni bora kukaa kimya kwani mengi ninayofahamu hayafahamiki na wengi lakini pia wengi wanafahamu mengi ambayo nami siyafahamu.
[emoji2363][emoji2363][emoji2363]
 
Ukweli unao wewe
Naifuta... Ila anatakiwa aache kutafuta umaarufu kwa nguvu... Sifa hazisaidii hasa kwa wasifu wake... Labda kama anatengeneza wasifu wa kazi mahali fulani
 

Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.

Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.

Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.

Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.

Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.

Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.

Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.

Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
 
mwenyewe kaweka wazi kabisa kwamba bado anaendelea kuheshimu kiapo alichokula mwaka 1995.
 
Anatembeza block Twitter si kawaida! Hata kama hujawahi comment anahisi kiwavi unakula block [emoji3166]
Hahahaha aisee imebidi niingie Twitter nikutafute.. kumbe na Mimi kaniblock na hata sijawahi mfollow
 
Wakristo na wasukuma hampewi Tena nchi.
 
Sad ni kwamba nimetoa machozi kwasababu ya kifo cha JPM japo nilikosoa maamuzi yake mengi. lakini nimejua kuwa kumbe wapambe wake hawajawai kuwa binadamu wa kawaida.
Nahisi wapambe wake wamechangia kwa kiasi kikubwa mauti yake.
Hakuwai kujiita Mungu ila wapambe walimuita.
Wapambe walimuita Yesu.
Hao wote walikufuru na walikwishapata adhabu yao, pengine ni adhabu yao ya kwanza.
Ni bora hawa waliomkufurisha rais wangetangulia wao kwanza.
Kama binadamu nae alifurahia sifa lakini kumbe ulikuwa mtego.


Nyie wapambe jifunzeni jamani. Tumeumia wengi lakini pengine ni sababu ya matumbo(vitambi vyenu) yenu.
[emoji24]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unamzungumzia yule alikuwa Mhasibu wao enzi za JK, Mlugulu yule alikuwa ana pesa chafu za madili, alipigwa Risasi za kutosha na hadi leo waliomuua hawajulikani
Bila shaka anayezungumziwa ni Major General Imran Kombe,mkurugenzi mkuu mstaafu wa TISS aliyemiminiwa risasi kule Moshi na sio huyo Mzeru aliyeuawa pale Airport
 
Hahàaa mbui, mlongo Chahali uyise kunu kunafilongo vyako[emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe anaendaga kula kitoga,kambale, njege, ngogo, sulusulu, ndipi, kule kibaoni, lumemo, viwanja60[emoji16][emoji16]
Mlamu kaliandilii, mtua vinu vilongu vya kutimbangila mwatu.
 
Kumbe na wewe ni mjinga
 
Kuhusu kule kwa yule Ngongoti???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…