Kuweni makini na mikorogo dada zangu

Kuweni makini na mikorogo dada zangu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Akina Dada kuweni makini mnapo changanya mikorogo huyu Dada kachanganya zaidi ya 8 na sabuni ya unga pia kaweka
Akatengeneza chemical ya sulphur acid bila yeye kujua inasemekana baada ya kupaka ndani ya week 1 akaanza kuhisi miwasho mikali na ngozi ikawa inavimba kama malengelenge ya kuungua mpaka kufikia hapo alipo yuko HOSPITALI

Muda mwingine mjikubali kwa namna mlivyoumbwa na Mungu
FB_IMG_17183465943094973.jpg
 
Kuna watu wana roho mbaya hivyo kazi yao ni kuwachuza wenzao halafu akishaharibikiwa kama hivyo yeye huko ndiyo anafurahi anaona amemkomesha.
 
Back
Top Bottom