Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Nawasihi tu wadau wapambanaji wa kisiasa na wakereketwa au mashabiki wa mambo ya siasa.
Hii VAR ya kudaka faulo zote za mitandaoni, na kwenye vifaaa vya mawasiliano inafanya kazi kwelikweli.
Muulize Ndugu 'Mwezi wa Kwanza' na genge lake.
Hii VAR ni kiboko, inadaka hadi habari zetu za kifamilia.
Kuna tabia ya wadau humu kupuuzia na kudhania jina la kutunga mitandaoni, au kuweka nywira(password) kwenye kifaa chako au kwenye blogu au app yako unakuwa salama.
Hakuna Telegram wala Whatsapp hali si salama kwakweli.
Mnafikiri akina 'Njanuari' walikuwa wazembe kiasi hicho walitumia vifaa ambavyo havikuwa 'secured'?
Kama kweli wana akili ya kufunga lile goli la mkono kupitia teknolojia hivi kweli ni wajinga kufanya mawasiliano kizembe kwa hizi simu za kawaida ktk plain message?
Unafikiri kanali mstaafu kamanda wa tusker hakutumia mbinu za kijeshi kukwepa kunaswa mawasiliano yake?
Watukanaji wa humu JF wapo huru sio sababu hawajulikani ila wameonekana hawana madhara hivyo.
Siku wakivuka mstari mwekundu ndio wanajua ukweli na inakuwa wameshachelewa.
Jumapili njema!
Edward Snowden anawasalimia sana toka Russia anasema:
BEWARE OF THE CYBER 'VAR'!
Domestic surveillance is real, and the sh*t is happening now ktk nchi ya kusadikika.
***Watu wa soka wanajua VAR ndio nini.***