Tetesi: Kuweni makini na VAR toka Israel, Musiba anajua kibanda cha VAR kipo wapi

Tetesi: Kuweni makini na VAR toka Israel, Musiba anajua kibanda cha VAR kipo wapi

Rais wetu asaidie na awe na mungu tusiingizwe vitani. Rais kama binadamu mwingine yyt hata kama anamadhaifu sio ya kifisadi
 
telegram iko safe sana.....sema tu watu wengi hawapendi kuwasiliana kule ni kama haijazoeleka sana kama whatsapp...mm naipendea secret chat yao nikiwa nahitaji kujadili kitu sensitive nisichopenda kiache alama...basi nafungua hiyo...namuinvite opponent kisha naset self destructive timer hata ya sekunde 5 yan text ikishatumwa survival ni 5 secs tuu inapotea..
 
Hakuna mtu yyte bongo narudia tena BONGO mwenye uwezo wa kusikiliza mawasiliano ya whatsapp au telegram hata kama mtu unatumia tecno y3...
Unajifariji kiongozi.
Umesahau kama nchi ile iliingia mkataba na Israel wa ushirikiano mambo ya usalama na taarifa za intelijensia.

Hiyo whatsap inafanya end-to-encryption na hiyo inasaidia ku-secure message wakati inasafirishwa. Inapoingia tu ktk kifaa chako inakuwa deciphered(decoded) kuwa plain text au kuwa normal un-encrypted voice or video message, ndio maana wewe unaweza kusoma text au kusikia voice au kuona video halisi.

Kwahivyo yeyote ambaye anaweza kudukua kifaa chako ataweza kupata access ya hizo apps au tuite services kama vile wewe unavyo zipata zikiwa decoded.

Je inawezekana kudukuliwa kifaa chako na wenye nyenzo au miundombinu sahihi?

Jibu ndiyo.
Mfano: Jiulize mamlaka fulani ile inajuaje simu flani imekuwa hacked au cracked na kubadilishwa IMEI?

Mamlaka au mitambo ya mitandao ya simu inajuaje ume crack modem kiasi kwamba ukiitumia tu hiyo modem muda mfupi inakukatia mawasiliano?

Je mara ngapi umepokea configuration message za internent kwenye device yako na ukakubali ku-install?
Unajuaje kama ktk hizo message wali emmbed spyware kama vile mfano wa PEGASUS?

Hiyo ni mifano ya michache na haimaanishi nipo sahihi au imetokea hivyo.
 
Sidhani kama wao hawajui yote hayo ila wamefanya makusudi kufikisha msg
Haiwezekani nikijua fika kuwa simu huwa hazina Siri halafu nijiachie tu hell no
 
Ushahidi au taarifa yoyote iliyo patikana kwa njia haramu haiwezi ku mfunga mtu popote pale duniani!!

Na haiwezi tumika kama ushahidi mahakamani.

Kila mtu ana uwezo wa kuwashitaki Airtel/Vodacom/Whatsapp/Facebook/ Jamii Forums, nk kwa kuto linda faragha au siri zake.

Binafsi naomba hizo Clip au SMS wadau.
 
Anayedukua haya maongezi nataka anisaidie kudukua maongezi ya bebi wangu maana simuamini kabisa siku hizi
 
Usiwatie watu hofu, VAR ya ukweli ni watu wenyewe, kuna mtu amewasaliti wenzie na kawachoma kwa mkulu
Kwenye audio kadhaa sauti ya Nape inasikika zaidi kuliko wenzake, means kuna wasiwasi yeye ndo aliekua akirekodi.
 
Msiwape credit kubwa, hawa jamaa ni expensive na jiwe hana pesa za kuwalipa huchunguza watu indeep. Ninachokihisi mie ni wanachama wa ccm wana app yao ya chama na km umejiunga basi wamepenyeza malware wao kukuchunguza, bila ya hivyo usitishike bado tunaishi kwenye third world country.
 
Back
Top Bottom