Kuweni makini wanaume mwenzangu!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
[emoji1751][emoji134]Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu[emoji24][emoji24]
[emoji117] samahani unaeza kuja kwangu muda huu [emoji536], na wakati unakuja naomba unijie na kuku[emoji239]

[emoji117]Bila kupoteza muda [emoji1745] Nilianza kutafuta pahala wanauza kuku[emoji239] & Nilinunua mkubwa kabisa[emoji239] nikaenda nikenda kwa mpenzi wangu [emoji536]

[emoji117] Alianza kumgawanyisha vipande, akatoa vipande viwili akawa anavichemsha na vingine akaviweka kwenye friji[emoji44][emoji849][emoji134]

[emoji117] Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva[emoji16][emoji134].....

[emoji117]Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita[emoji3061][emoji849] akaingia chumbani kwenda kuongea na simu[emoji44][emoji3061][emoji134]

[emoji117] Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo[emoji44][emoji1751][emoji134]

[emoji117]Akanisisitiza niondoke haraka[emoji124][emoji124] atanipigia simu kaka yake akiondoka [emoji44][emoji134][emoji1751][emoji44][emoji44]
[emoji117] Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa vile vipande viwili nikaacha mchuzi mtupu,[emoji34], nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa ameviifadhi[emoji849], nikaanza safari ya kwenda kwangu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji117]....Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa[emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji117] Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????[emoji19][emoji19][emoji30][emoji30]
 
Huyu ndo mmiliki sasa!
 
πŸ˜‚ ungeacha hivyo vipande vya kuku ningekutukania ukoo wenu wote... Sikuhiz mbwai mbwai
 
Ningekua mimi ningeita kirikuu ningebeba sufuria yenye vipande vya kuku pamoja na Friji iliyohifadhi kuku
 
Ungeng'ang'ania kukaa ungeitiwa mwizi awachelewi hawa akili zao haziwatoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…