Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Uhasimu na utani nikitu kimoja , na uhasimu wenyewe ndio Derby ,,,Mkuu sasa hivi simba na yanga siyo watani wa jadi tena, bali ni mahasimu wakubwa, na mpira wa bongo siyo burudani tena bali umekuwa vita
Wazee wa Ccm au sio kina mzee karume wa African sportsZote ni timu za CCM!
Zote zina zaminiwa na GSMZote ni timu za CCM!
Fita ni fita murahMkuu sasa hivi simba na yanga siyo watani wa jadi tena, bali ni mahasimu wakubwa, na mpira wa bongo siyo burudani tena bali umekuwa vita
Hakuna derby ya Barcelona na MadridMiongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile vile Derby ya Celtic na Rangers ilitokea kwa sababu za kidini, pia kuna sababu kama kigeografia n.k Je unajua Derby ya Simba na Yanga ilidababishwa na nini? Na imekuzwa na kitu gani?
Nitataja sababu kadhaa , legend mtaongezea
1. Eneo , zote zinatoka eneo moja hivyo kupelekea kuibuka kwa upinzani mkali
2. Siasa Ya rangi CCM VS Chadema (sio sababu ya moja kwa moja)
3. Wachezaji, Juma kaseja , Emanuel Okwi, Mbuyu Twite, mtaongeza wachezaji wengine, sababu hii nikuwa kunyang'anyana wachezaji au mchezaji mzuri kutoka.huku kwenda kule kunachochea uhasama
4. Matajiri GSM Vs MO , na hapa panaongeza upinzani mkali.
5. Matokeo
NB derby inaweza kufa kama hakuna vichochezi vya upinzani au inaweza kupoa kabisa. Hasa kama timu moja itakuwa mnyonge kwa muda mrefu
Msikie huyu 🤣 kwahiyo El clasico ni kichwa chako?Hakuna derby ya Barcelona na Madrid
Kwa kuwa hujui ndio umefikiri hivyoMsikie huyu 🤣 kwahiyo El clasico ni kichwa chako?
Jifunze zaidi mkuu acha kukaza ubongo kwa maneno ya vijiweniKwa kuwa hujui ndio umefikiri hivyo
Mwalimu wangu alaumiwe🤣Kaka mada nzuri. . Ila uandishi mbovu.
Mwalimu wangu alaumiwe🤣
El CLASICO sio derby kijana.kuropoka maneno yasiyo na staha hakukufanyi kuwa sahihi! Wale ni RIVALS tu ambao mechi yao ni ya hadhi ya juu duniani.Jifunze zaidi mkuu acha kukaza ubongo kwa maneno ya vijiweni
"The classic"... Real Madrid vs Barcelona.Msikie huyu [emoji1787] kwahiyo El clasico ni kichwa chako?
Una akili ndogo sanaMsikie huyu 🤣 kwahiyo El clasico ni kichwa chako?
We jamaa hujui na unajikuta mjuajiJifunze zaidi mkuu acha kukaza ubongo kwa maneno ya vijiweni