Na Mimi namaanisha hicho ulichoandikaKwani Derby ni mechi ndogo mkuu? Sifa mojawapo ya Derby ni mechi kubwa, mashabiki wengi , uhasama , mechi ngumu, matokeo hayatabiriki , hizi ndio sifa za mchezo wa Derby ukichezwa
Upo sawa mkuu Derby sio lazima zitoke sehemu moja au jiji moja , ndio.maana hakuna Derby ya yanga na Abajaro , japo zote ni za Dar es salaamNa Mimi namaanisha hicho ulichoandika
Napinga kuwa derby ni ya mechi ya timu zinazotoka sehemu 1 kijiografia
Nimewapa mifano kuwa mechi ya
Man u vs Liverpool
Ni kubwa kuzidi
Man city vs man u
Derby unaamua wewe kijana mjanja,mjuzi na gwiji wa futiboli!Unafikiri Derby inaamuliwa na mtu mmoja? Kwamba wewe utoke huko yombo Dovya useme mchezo fulani ni Derby au sio Derby na watu wakusikilize?
wewe ushaelewa kilichobaki unakimbiza uzi.Unafikiri Derby inaamuliwa na mtu mmoja? Kwamba wewe utoke huko yombo Dovya useme mchezo fulani ni Derby au sio Derby na watu wakusikilize?
Watoto wa 2000 bana!!..derby miaka ya 70,80,90 ilikua nzito kuliko leo, palikua na ccm na chadema!?kasema,gsm,mo!?..na unaamini el classico ni derby iliyokolezwa na messi na Ronaldo!?..mkishiba mnakuja kujambajamba tu jukwaani!!Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile vile Derby ya Celtic na Rangers ilitokea kwa sababu za kidini, pia kuna sababu kama kigeografia n.k Je unajua Derby ya Simba na Yanga ilidababishwa na nini? Na imekuzwa na kitu gani?
Nitataja sababu kadhaa , legend mtaongezea
1. Eneo , zote zinatoka eneo moja hivyo kupelekea kuibuka kwa upinzani mkali
2. Siasa Ya rangi CCM VS Chadema (sio sababu ya moja kwa moja)
3. Wachezaji, Juma kaseja , Emanuel Okwi, Mbuyu Twite, mtaongeza wachezaji wengine, sababu hii nikuwa kunyang'anyana wachezaji au mchezaji mzuri kutoka.huku kwenda kule kunachochea uhasama
4. Matajiri GSM Vs MO , na hapa panaongeza upinzani mkali.
5. Matokeo
NB derby inaweza kufa kama hakuna vichochezi vya upinzani au inaweza kupoa kabisa. Hasa kama timu moja itakuwa mnyonge kwa muda mrefu
Jifunze zaidi mkuu acha mihemkoWatoto wa 2000 bana!!..derby miaka ya 70,80,90 ilikua nzito kuliko leo, palikua na ccm na chadema!?kasema,gsm,mo!?..na unaamini el classico ni derby iliyokolezwa na messi na Ronaldo!?..mkishiba mnakuja kujambajamba tu jukwaani!!
We jamaa mpuuzi kweli aliyekuambia Derby ni lazima timu zitoke sehemu moja ninani? Haya Derby ya Manchester united na Liverpool zinatoka sehemu moja? Hilo jina ni jina ililopewa hiyo Derby kama ilivyopewa Mashemeji Gormahia Vs Af leopard au watani Simba Vs Yanga lakini kwavile umekaza ubongo hutaelewa. El clasico ni Derby namba 1 Bora duniani
Kijana acha upumbavuOnesha wap wamewai ita Derby hiyo mechi ya Man utd vs Liverpool
Moderators tutoleeni wehu hawa , mtu hata kugoogle haez duh!
El classical sio ferby acha ubishiMsikie huyu 🤣 kwahiyo El clasico ni kichwa chako?
Sio derby mkuu hata watani wa jadi sio Derby kabisaEl classical sio ferby acha ubishi