mcbbrandog
New Member
- May 22, 2024
- 2
- 0
Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu.
Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo mfano tunabidi tuwe nashule za vitendo kwa watoto wetu wajao kwa kugundua vipaji vya watoto ili kutengeneza mainjinia wengi kutengeneza wabunifu wengi wa mitindo mbalimbali lazima serikali tuendane na mfumo wa kisasa kama wanaotumia mataifa yalioendelea.
Lazima tujue mtoto anakipaji gani kuliko kusoma mpaka akamaliza na wakaa nyumbani bila kazi ni bora serikali kushilikiana na wananchi uwepo wa shule za vipaji ili kama mtoto anataka kusoma nini na anakipaji gani ili tuwe na tanzania bora .mfumo wa ufundishaji ubadikike

Upvote
0