Kuwepo wanaume wenye uke ni ulemavu au ni matokeo ya plastic surgery??

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Nimesikiliza interview moja hivi nimeshituka.
Sikujua kama kuna ulemavu wa hivi!
je kuna matibabu ya huu ulemavu?
 
Kibongo bongo ndo hamna
Mwanangu dunia hii ina mengi , iko hivi hapa Nchini wapo watu wa hivyo kabisa ingawa huwa wanafichwa sana katika malezi tangu wadogo ,kule kwa jina wakijulikana kama "husa" na nakumbuka miaka ya 90 hivi alikuwepo mwalimu mmoja wa shule ya Msingi katika wilaya moja ya Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…