Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Dogo si ugugu? Yaani vitu vya kujielimisha mwenyewe mpaka tuelimishwe? PUMBAVU!Hizo sehemu mtu mmoja akiwanaza huwa zina function zote..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo si ugugu? Yaani vitu vya kujielimisha mwenyewe mpaka tuelimishwe? PUMBAVU!Hizo sehemu mtu mmoja akiwanaza huwa zina function zote..??
Hawa wapo na nilishawahi kushuhudia kabisa, alikuwa demu wa rafiki yangu na hadi leo wanadundaIna maana hata wenye jinsia mbili hujawai wasikia
Nachojua ni kwamba part moja ndio huwa sensitive kuliko nyingineHizo sehemu mtu mmoja akiwanaza huwa zina function zote..??
Hata mimi ndo nachojua hivyo lakini ndugu yangu hapo juu ananiita mpumbavu kisa nimekataa kuwa hakuna mwanaume hapohapo awe mwanamke!.. huwezi kuwa na hizo part zote mbili halafu zote zikafanya kazi moja lazima iwe ndo inafanya kazi sasa maamtu mengine yanafikiri watu wote ni mazwazwa!Nachojua ni kwamba part moja ndio huwa sensitive kuliko nyingine
Ndivyo hivyo mkuu. Haziwezi kufanya kazi kwa viwango sawa. Kuna moja huwa active na ndio inayomfanya a-rely jinsia husikaHata mimi ndo nachojua hivyo lakini ndugu yangu hapo juu ananiita mpumbavu kisa nimekataa kuwa hakuna mwanaume hapohapo awe mwanamke!.. huwezi kuwa na hizo part zote mbili halafu zote zikafanya kazi moja lazima iwe ndo inafanya kazi sasa maamtu mengine yanafikiri watu wote ni mazwazwa!
Ndo nishaitwa mpumbavu wacha nikalale...🤣Ndivyo hivyo mkuu. Haziwezi kufanya kazi kwa viwango sawa. Kuna moja huwa active na ndio inayomfanya a-rely jinsia husika
Noma sana mkuuNdo nishaitwa mpumbavu wacha nikalale...🤣