Kuzaa au Kutozaa: Lazima kila Mwanamke awe na Mtoto?

Kuzaa au Kutozaa: Lazima kila Mwanamke awe na Mtoto?

Wewe ungeandikaje huu uzi mama yako angekuwa na mawazo kama yako ya kutozaa?
Mimi nimeandika kwa kutizam kile kinachotokea kwenye jamii ila sio kwamba nnakifanya/sitakifanya. Lengo ni ku-address tatizo na kutizama je wanajamvi mna maoni gani juu ya hii kadhia.
 
Nature ndivyo inavyotaka hivyo
Mwanamke lazima awe na uwezo wa kuzaa
Na Mwanaume kuzalisha.

Ingawaje mapokeo, utashi, maendeleo ya kijamii na kisosholojia yanaweza kusema vinginevyo

Kazi za uume na uke zinajulikana.
Kazi za Mji wa Mimba na mifumo ya uzazi Kwa Mwanaume na mwanamke zinafahamika
 
Back
Top Bottom