Nature ndivyo inavyotaka hivyo
Mwanamke lazima awe na uwezo wa kuzaa
Na Mwanaume kuzalisha.
Ingawaje mapokeo, utashi, maendeleo ya kijamii na kisosholojia yanaweza kusema vinginevyo
Kazi za uume na uke zinajulikana.
Kazi za Mji wa Mimba na mifumo ya uzazi Kwa Mwanaume na mwanamke zinafahamika