SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Raisi Dr Pombe ameshasema mzaliane tu as long as mna uwezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwanaume hamna shida ila kwa wanawake ndo shida........Hivi mtu unapozaa after 40, tena mtoto wa kwanza unapata kwenye umri huo unafikiri nini?
Siku hizi baadhi ya wanawake kwa wanaume wanapata mtoto kwenye 40 au zaidi ya hapo.......je hawa watu hawafikiri baada ya miaka 15-20 si watakuwa wameezeka? Huyo mtoto si atakuwa kama mjukuu!! Vile vile kwenye umri huo utakuwa umestaafu.......utaleaje huyo mtoto, kama huna hata saving utasomeshaje huyo mtoto ili aje kuwa maisha bora?
Najiuliza tu!!