Kuzaa kwa njia ya upasuaji

Kuzaa kwa njia ya upasuaji

The secretary, sorry ma nlichelewa kuona hii hapa. Huwezi kuamini nilitapika every single day of my pregnancy. Mpaka nikiwa theatre. Hamna dawa ilonikubali. Nosic wala ipi. I was very depressed. Nilitoka 80 kgs mpaka 69 kgs. Halafu I had no major cravings, matunda tu na Savannah. Lol. Ila sikunywa. Nilijua mtoto wangu guarantee atakuwa not more than 2.5 kgs. Nimekaona theater I was amazed. So so amazed at my big beautiful baby boy.
Asikuambie mtu operation ni complicated. My life has changed, I have back problems, with time, I pray Mungu atanijaalia wepesi.
 
Karucee pole utarecover to some extent cha muhimu mlitoka salama
 
Last edited by a moderator:
Karucee, poles sana, na hongera pia. Ni kweli kabisa operation asikwambie mtu, huwezi kuwa kama ulivyokuwa mwanzo, hata kama ukipona kabisa. Zury, operation iwe ni option ya mwisho maana matatizo yanaweza kuwa mengi kuzidi faida ukilinganisha na kujifungua kawaida. Hii ni kwa mtu na mtu lakini.
The secretary, sorry ma nlichelewa kuona hii hapa. Huwezi kuamini nilitapika every single day of my pregnancy. Mpaka nikiwa theatre. Hamna dawa ilonikubali. Nosic wala ipi. I was very depressed. Nilitoka 80 kgs mpaka 69 kgs. Halafu I had no major cravings, matunda tu na Savannah. Lol. Ila sikunywa. Nilijua mtoto wangu guarantee atakuwa not more than 2.5 kgs. Nimekaona theater I was amazed. So so amazed at my big beautiful baby boy.
Asikuambie mtu operation ni complicated. My life has changed, I have back problems, with time, I pray Mungu atanijaalia wepesi.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mleta mada kuitwa mama si rahisi, mi nina watoto wawili wote kwa operation, ila maumivu ya operation ni noma, lakini pia uchungu nao unatisha pia, muombe sir God, akusaidie. ila kama huna tatizo ni bora ujifungue ila nenda hospital nzuri
 
Back
Top Bottom