Kuzaa mtoto mmoja

Napenda kujua kwanini ulipendelea mtoto mmoja na sio kumi.
Kwanini upate shida kuwajuza wenzako ikiwa unaamini sababu zako ni njema?
Je kuna vasectomy au mirija kukatwa?
Itakuwaje ikiwa utakuwa na watoto wawili?
Wanatoa sababu zipi hadi inakuwa kero kwao?
Kwanini ukereke ilhali umewapa sababu?

KWANGU naona wewe una tatizo la kutosimamia unachokiamini
 
I dont think so, who's going to take care of you when you're old.

(If your only child has died)

God forbid, lakini si unaweza pia mzazi ukatangulia ukamuacha mtoto?
 
Inaonekana mlikuwa wabinafsi toka mwanzo. hivi, hamkumfikiria mtoto wenu kuwa na mwenzie au wenzie? mnaweza mkawa na 'furaha' nyie wawili lakini sidhani kam huyo mtoto wenu alikuwa akiifurahia hali hiyo. Kama uwezo upo nakushaurini muongeze ulimwengu.
 
Mimi nina mtoto wa 3month but nishatamani kuwa na mwengine. Hivi akifika mwaka tu nabeba nyingine.
Sishauri hata kidogo mtu kuzaa mtoto mmoja. Km Mungu amekujalia uzazi hata wawili jamani.
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…