jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
Wewweeee!Kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana (either kabla ya ndoa au baada ya ndoa) sasa naomba kuuliza ni lipi linaumiza zaidi kwa mwanaume au mwanamke
1 mwanaume kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa kabla ya ndoa au mwananke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kabla ya kuona
2. mwanaume kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa au mwanamke kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa
najua vyote siyo vizuri kimaadili ila ni lipi la uma zaidi na utakabiliana nalo vipi?
Wewweeee!
Hii kwenye RED haikubaliki kabisa...Mengine yote yanaweza kutokea lakini siyo hilo..
Ni kinyume kabisa cha mila na dasturi za jamii yoyote!~
Yaani hiyo ya pili ndio kasheshe.....:sick:
Ya kwanza hapo nyuma si kila mtu alikuwa na maisha yake
sasa mkuu unamaanisha mwanaume kuzaa nje ruksa ila mwanamke NO
Wewweeee!
Hii kwenye RED haikubaliki kabisa...Mengine yote yanaweza kutokea lakini siyo hilo..
Ni kinyume kabisa cha mila na dasturi za jamii yoyote!~
Wewweeee!
Hii kwenye RED haikubaliki kabisa...Mengine yote yanaweza kutokea lakini siyo hilo..
Ni kinyume kabisa cha mila na dasturi za jamii yoyote!~
PJ, sasa hiyo ya kwenye red ndo ipo sana kuliko ya hata mume kuzaa nje ya ndoa ila inakuwa hamjui tu
Kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana (either kabla ya ndoa au baada ya ndoa) sasa naomba kuuliza ni lipi linaumiza zaidi kwa mwanaume au mwanamke
1 mwanaume kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa kabla ya ndoa au mwananke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kabla ya kuona
2. mwanaume kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa au mwanamke kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa
najua vyote siyo vizuri kimaadili ila ni lipi la uma zaidi na utakabiliana nalo vipi?
Hiyo kwa bluu ndo inauma zaidi,yaani acha tu.......
Nitakabiliana nalo vipi: Itategemea kwanini alifikia hiyo hatua si tu ya ku cheat bali kuwa na mtoto kabisa,pengine mi sina uwezo wa kuzaa,au nina matatizo au nimeshazaa wawili wa kike ye ataka wa kiume na mi sitaki kuzaa tena kaenda mtafuta huko nje......itategemea sababu ya kumpelekea kufanya hivyo.....ila kama hana strong reasons,kama nampenda na ana mazuri mengi kuliko hilo kosa,namsamehe,if he has nothing to offer na akafanya huo upumbavu....namhama kimoja isije kuwa alikuwa ananitafutia sababu ya kuondoka........lol:laugh:
Michelle mamie hiyo strong reason unayozungumzia kama kutaka mtoto wa kiume wakati wewe ni unapata wa kike tu mlizungumza pamoja?
Kama mlizungumza mkakubaliana okay, ila kama hamkuzungumza basi ni balaa...Usisahau wanaume akaunti zetu za sababu (tena vere strong) hazijawahi kutindikiwa
Mmmmhhh....:angry:PJ, sasa hiyo ya kwenye red ndo ipo sana kuliko ya hata mume kuzaa nje ya ndoa ila inakuwa hamjui tu
Uoa tu mke wa pili, tatu na nne, ya nini kuzaa nje mkuu..zaa ndani ya ndoa