Kuzaa nje ya ndoa

2. haya siku hizi ndio yamekuwa mengi na zaidi sisi wanaume, tayari tuko kwenye ndoa, lakini utakuta pia ana mwengine nje ya ndo na anamzalisha bila mke wamwanzo kujuwa. Siku hizi imekuwa fashion mwanaume awe na mke na mpenzi mwengine pembeni.
 
aaaaaaaaaaaaaaaaah hiyo ya pili ngumu sana bana
 
Kutoka ndani ya ndoa nakwenda kuzaa nje ya ndoa ni ushenzi na uwenda wazimu. Ila kinachouma kupita vyote hivyo nikufunga ndoa halafu msipate watoto.
 
Inauma sana mke akizaa na mwanaume wa nje. Ila jamani tuwe wakweli, vya kuiba vitananoga na vitamuuuuuu!!
 
Wanawake wanashika sana mimba nje ya ndoa ila wakishitukia kuwa hiyo mimba si ya mme wake huwa wanawahi kuitoa mapema, tuna marafiki madaktari wanatuambia hayo mambo kuwa wake za watu wanatoa sana mimba na wengine huwaambia kabisa madaktari kuwa hii "mimba kimeo" Siku hizi tiba na teknolojia ipo vizuri mwanamke anaweza toa mimba akarudi nyumbani na wala mme asijue sana sana atakubania unyumba kwa siku kadhaa kwa sababu za hapa na pale.

Wanawake wengine ndo hivyo wanaacha wazae na mtoto akizaliwa inakuwa ni oh huyu anafanana sura na marehemu babu yetu!
 

hii imetokea mtaani kwetu majuz mwanamke kaolewa kumbe ana mimba ya wk 3 akaona so ilipokuwa na miez mi 4 akaitoa na kudai imetoka yenyewe!
 

Kwa vyovyote vile hiyo bluu haiwezi kulingana na red hata siku moja.

Red inauma mno asikwambie mtu na hapo ndo inapokuwa wazi kuwa mwenzio anacheat ndani ya ndoa.
 
ama kweli wanaume msiolijua litawasumbua waswahili walisema.........
kama mna ubavu kapimeni DNA test kama hatujawapoteza kwa presha.
watoto wengi wanazaliwa ndani ya ndoa ila ki uhalisia ni wa njeee......
ths why sikuhizi mtu akitaka kupima DNA inakuwa process ndefu mno na iwe reasonable kabisa...poleni sana wahanga.....
 
Naona kuna upepo wa kipupwe unapita sasa mmmmh
 
ila hamkuambiana kabla ya ndoa, mfano mwanamke alikuficha hana mtoto unakuja gundua baada ya muda mkiwa knye ndoa unamfanyaje


Hili ni Tatizo kwa nini kama mnapendana muanze kufichana back ground zenu ..
Ukigundua mko kwenye ndoa itabidi mkae chini muongee msameehane na kuanza upya
Kila binadamu anakosea na huwezi jua kwa nn kaamua kuficha
Ila haya si maisha chako kipende
 
Hili ni Tatizo kwa nini kama mnapendana muanze kufichana back ground zenu ..
Ukigundua mko kwenye ndoa itabidi mkae chini muongee msameehane na kuanza upya
Kila binadamu anakosea na huwezi jua kwa nn kaamua kuficha
Ila haya si maisha chako kipende

ushauri wangu tujitahidi kuwa wa kweli ingawa ukweli unauma
 
/mnaongelea lipi linaumiza zaidi na lina muumiza nani exactly? ila kwnye hiyo scenario naona watoto ndio victims...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…