Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol!
Hiyo ya pili jamani..mmh!
Labda kama nimemruhusu.
kama huna tatizo lolote unaweza ukamruhusu?? katamani tu demu mwingine utamruhusu akachape nje?
Wanawake wanashika sana mimba nje ya ndoa ila wakishitukia kuwa hiyo mimba si ya mme wake huwa wanawahi kuitoa mapema, tuna marafiki madaktari wanatuambia hayo mambo kuwa wake za watu wanatoa sana mimba na wengine huwaambia kabisa madaktari kuwa hii "mimba kimeo" Siku hizi tiba na teknolojia ipo vizuri mwanamke anaweza toa mimba akarudi nyumbani na wala mme asijue sana sana atakubania unyumba kwa siku kadhaa kwa sababu za hapa na pale.
Wanawake wengine ndo hivyo wanaacha wazae na mtoto akizaliwa inakuwa ni oh huyu anafanana sura na marehemu babu yetu!
Kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana (either kabla ya ndoa au baada ya ndoa) sasa naomba kuuliza ni lipi linaumiza zaidi kwa mwanaume au mwanamke
1 mwanaume kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa kabla ya ndoa au mwananke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kabla ya kuona
2. mwanaume kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa au mwanamke kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa
najua vyote siyo vizuri kimaadili ila ni lipi la uma zaidi na utakabiliana nalo vipi?
PJ, sasa hiyo ya kwenye red ndo ipo sana kuliko ya hata mume kuzaa nje ya ndoa ila inakuwa hamjui tu
Lol!
Hiyo ya pili jamani..mmh!
Labda kama nimemruhusu.
Naona kuna upepo wa kipupwe unapita sasa mmmmh
ila hamkuambiana kabla ya ndoa, mfano mwanamke alikuficha hana mtoto unakuja gundua baada ya muda mkiwa knye ndoa unamfanyaje
Hili ni Tatizo kwa nini kama mnapendana muanze kufichana back ground zenu ..
Ukigundua mko kwenye ndoa itabidi mkae chini muongee msameehane na kuanza upya
Kila binadamu anakosea na huwezi jua kwa nn kaamua kuficha
Ila haya si maisha chako kipende