Kuzalilishwa kwa JWTZ kwenye mitandao msishangae asilimia 98 kuwa bize na huko kubembeleza

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Huyu akili kisoda kubebwa kote na sikia ni bingwa wa kuchamba watu ndani ya nchi na nje ya nchi.

Baada ya kubebwa mpaka kwa mkono wa damu si kaona yeye ndio amri jeshi mkuu.

Kaanza kuwachamba wakubwa na huku mitandaoni tunavyo wazihaki JWTZ wanazidi kushikwa na hasira.

Msione ili jambo ni dogo tena hapa Jamiiforum kuna uzito mpaka wengine wameacha kutumia ID zao kwa ajili ya aibu mfano waziri mkuu.

D25 hawa vijana wakisema wanakianzisha ndio mtajua kuwa kulikuwa hakuna maelewano na JWTZ na asilimia 98.
 
Kuzalilishwa, what is this?
 
Ni kudhalilishwa na sio kuzalilishwa mods rekebiseni hapo title
 
Huyu akili kisoda kubebwa kote na sikia ni bingwa wa kuchamba watu ndani ya nchi na nje ya nchi.

Baada ya kubebwa mpaka kwa mkono wa damu si kaona yeye ndio amri jeshi mkuu.

Kaanza kuwachamba wakubwa na huku mitandaoni tunavyo wazihaki JWTZ wanazidi kushikwa na hasira.

Msione ili jambo ni dogo tena hapa Jamiiforum kuna uzito mpaka wengine wameacha kutumia ID zao kwa ajili ya aibu mfano waziri mkuu.

D25 hawa vijana wakisema wanakianzisha ndio mtajua kuwa kulikuwa hakuna maelewano na JWTZ na asilimia 98.
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Unafikiri jeshivlwtu pendwa Lina muda wa kuhangaika na matusi yenu machoko?!!! Hili sio jeshi linaloruhusu upinde kuwa sehemu yao kama sehemu nyingine. We jaribu kuharibu amani na ustawi wa nchi hii ndo utajua.........lakini hayo matusi yenu nyie mashoga, tukaneni tu na Wala hutowaona wakihangaika na mashoga nyie!
 
Jamaa yangu hawa wapasua tofali ni bure kabisa.Sema watakuja kuamka tuwe na subira.Boda na imani watafanya jambo
 
Back
Top Bottom