JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama Watoto wengine hivyo imani potofu hazina budi kukoma
Watoto Njiti wanahitaji uangalizi maalumu kwani ni Watoto kama Watoto wengine, jamii inapaswa kuwahudumia wao na Mama zao kwa upendo
Serikali iweke kipaumbele na mpango maalumu wa kuboresha miundombinu ya kuwahudumia Watoto Njiti katika Hospitali zote