J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jan 19, 2021 #1 Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanazaliwa njiti, yaani ujauzito ukiwa haujatimiza wiki 37 wakiwa na uzito mdogo Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama Watoto wengine hivyo imani potofu hazina budi kukoma Watoto Njiti wanahitaji uangalizi maalumu kwani ni Watoto kama Watoto wengine, jamii inapaswa kuwahudumia wao na Mama zao kwa upendo Serikali iweke kipaumbele na mpango maalumu wa kuboresha miundombinu ya kuwahudumia Watoto Njiti katika Hospitali zote
Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanazaliwa njiti, yaani ujauzito ukiwa haujatimiza wiki 37 wakiwa na uzito mdogo Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama Watoto wengine hivyo imani potofu hazina budi kukoma Watoto Njiti wanahitaji uangalizi maalumu kwani ni Watoto kama Watoto wengine, jamii inapaswa kuwahudumia wao na Mama zao kwa upendo Serikali iweke kipaumbele na mpango maalumu wa kuboresha miundombinu ya kuwahudumia Watoto Njiti katika Hospitali zote