Kuzaliwa masikini inatokea lakini kufa masikini ni chaguo

"-------KUFA MASKINI NI CHAGUO"???

What a nasty caption !!!😱
 


Matajiri hawawezi kuwepo bila ya kuwepo maskini jinsi ilivyo mwangaza hauwezi kutambulika bila ya kuwepo giza.

Mwanamume asingeweza kujulikana bila ya kuwepo mwanamke.

Umaskini na utajiri ni sehemu ya maisha na wangapi tutakuwa matajiri??--- nani atamuajiri mwenzake na tajiri gani anaweza kuishi bila maskini??
 
Hata waliokua na mawazo ya collectiveness yaani Ujamaa walishindwa. Lakini matajiri watusaidie kukomesha absolute poverty.
 
Hapana hapa mtoa mada anamanisha Ile Hali ya mtu kuwa na uwezo wa kupata basic needs like nyumba nzur ya kuishi,mavazi mazuri na chakula Bora .hiyo n haki ya binadam kuipata.Yan Kama binadam uliekamlika lazima uwe na uwezo wa kupata hyo mahitaji.

Pia kumbuka kila Jambo linawezekana chini ya jua Ivo ni uamuzi wako tu.you can be of what you want
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…