Kuzaliwa ni mzigo!: mzigo mzito sana ambao hakuna aliechagua kuubeba

Hii ni aina ya ujumbe ulio fikishwa nanafsi ilio katika hali ya huzuni na tafakari ya juu sana.
Nikutoe hofu nanikupe matumaini mkuu.
Wewe nibora sana nimwenye nguvu,jasiri na mshindi wa siku zote.
Trust me wewe ndio unafanya maana nzima yamaisha iwepo.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hakika mkuu

nilijuaga wewe ni punguani ila kiukweli wewe ni ponjoro.

Niku nyuma yako mkuu
πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻
🀣🀣🀣 🀣🀣🀣🀣

Don't take it personal mkuu.

Nipo nyuma yako mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nilikuwa nasoma hiki kitabu kinajadili haya mambo, kitabu kina ukweli mgumu sana sana sana.

"The Human Predicament: A Candid Guide to Life's Biggest Questions".

By David Benatar.
 
πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…