Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Inakadiriwa kuwa takriban Watoto Milioni 15 wanazaliwa kabla ya Wakati kila mwaka Duniani kote
Watoto Milioni 1 waliozaliwa kabla ya Wakati au wakiwa na uzito wa chini hufariki Dunia kwa sababu mbalimbali
Watoto wengi huishi lakini wapo ambao wanapata changamoto ya kuwa na ulemavu wa maisha unaojumuisha uwezo mdogo wa kujifunza, kuona au kusikia
Upvote
0