Kuzaliwa wa kwanza siyo ishu ya wewe kuwa lango la baraka

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Baada ya mtumishi mmoja kufundisha huu ya suala hilo la malango, Mungu anaweza kumtumia aliyezaliwa kwenye familia husika yeyote yule hata kama si wa kwanza kuzaliwa.

Kanuni za kiroho ni tofauti na mambo ya kimwili, tuone mfano:
  • Essau na Jacob
  • Reuben hakuchaguliwa
  • Daudi alikuwa ni mdogo kuliko wote akachaguliwa kwenye nyumba ya Yese.
Kuzaliwa wa kwanza siyo ishu ya wewe kuwa lango la baraka. Kila mtu anaweza kuwa lango kama atakuwa ana Yesu ambaye ni mzaliwa wa kwanza wa vitu vyote.

Mungu humbariki yeyote atakaye jamani.
 
Back
Top Bottom