Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
Imekukumba wewe au umehaditbiwa?sio salama ikitokea manyoya yakaingia kwenye mfumo wa hewa au mapafu,utatumia dawa zote za vikohozi na hata kifua kikuu bila kupona,na kila utakapokuwa unakohoa kila mtu aliye karibu nawe atakushangaa.