The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
Usijaribu bro hata siku moja maana uke una bacteria wa kutosha,lakini pia Kuna virus vinaitwa Human papiloma ambavyo huwa anapata mwanamke kwa kufanya mapenzi na mtu mwenye govi na hata kwa wanaume wasio na magovi wenye maambukizi ya Human papiloma ambavyo athari zake huonekana baada ya miezi sita na kuendelea ambayo husababisha uvimbe za kwenye Koo na kinywa kwa ujumla. so usijaribu ufundi wa kunyonya uke bro.