Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Unatatizo la kisaikolojoa mkuu.
Mwanaume hupati raha yoyote unapomfanyia mwanamke kitu icho. Wengi hufanya kwakujua kwamba mwanamke ndie anaepata raha. Sasa kama na weye mwenyewe unahisi raha Hupo sawa kiakili mkuu.

Na kuhusu madhara mkuu huko chini sio salama kabisa kutia ulimi. Kuna uchafu mwingi na backteria wabaya tele kiujumla. Nisawa na mtu kuwa na donda alafu weye ukaliramba.
 
Nilishawahi zama chumvini kwa mpenzi wangu,miaka ya nyuma,baada ya zoezi,mdomo ulichange kabisa test,koromea likawa kama lina chumvi chumvi hivi!! Hadi leo huo mchezo siutaki kabisa na wala sihitaji hata ku practice
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jinsi kuna maradhi mengi na infections unadhuhutuje aisee, pole yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unapata raha gani kufanya hivo huoni kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja kunyonya viungo vya siri ni hatari tatizo watu waiga porn, mfano Dar wanawake wanaongoza kwa uti sugu, na mafungus, sasa huko chini kunakuwaje, mi huo ushenzi siukuubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120] Asante nimeelewa kwanini naumw meno.. Maana huwa nkila nyama lazma meno yaume afu ni tangu nlivyo anzaga kuzama chumvin. pia huwa nkizama chumvin baada ya hapo huwa naumw meno.. Mwanzo nlikua cjui chanzo ni nini ila nlivyo anza fanya utafiti kwanini naumw meno nlikuja gundua tatizo ilikuwa ni kuzama chumvin..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…