Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Hii ripoti inashtua lakini inasadifu kile kinachoendelea katika faragha nyingi za siku hizi. Kwa hali hii baada ya miaka kadhaa hii kansa ya koo litakuwa janga la taifa.

Niwashauri tuu wanaume tuache kuingia chumvini kwa wanawake ambao hatujui status zao za HPV virus. Pia kwa wanawake muache kuwanyonya waume zenu baada ya kuwa wameshaingiza nanliu zao kunako nanliu zenu.

Kumbukeni Kansa Haiponi.


 
vipi wanawake nao inawapata kwa njia hiyo?mimi demu wangu asipocheza na mic kabla ya kibano hanielewi kabisa
 

Binafsi huwa sigusi chumvi[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…