Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

dah! Nimekusoma aixee chumvini kumbe akufahi

Hapana Mkuu inategemea na usafi na tabia ya mhusika. Kama ni mtu aliyetulia habadilishi wanaume huku na kule, ni msafi wa mwili na nguo na pia huangalia afya yake kwa vipimo kila baada ya muda fulani ili kuhakikisha yuko salama basi hakuna ubaya wowote. Inasemekana kinywa ni kichafu zaidi kuliko kule mahala

Vagina or Mouth?... | Facebook 🙂
 
Pigo kweli kweli, sasa itakuwaje???? bila chumvini?? muuuumuuuu
 
Haa..batani za 'thanx' na 'like' mbona sizioni?ni kwangu tu ama?
 
hapo ni kweli mtoa mada pia kuna vitu vinaitwa Normal flora kitaalamu yaani hawa ni wadudu wanakaa sehemu moja kwa mfano mdomoni pale mdomoni wakiwa pale hawana madhara ila wakihamishiwa sehemu nyingie wanaleta madhara km Lacto bacillus ni normal flora wa chumvini sasa akihamishiwa mdomoni ndo maana unaweza ukawa katika risk yakupata oral cancer kama mtoa mada alivyosema hapo juuu tusiige kila kitu let us be ourself
 
Mmmh,sijui?ila kuacha ni ngumu jaman!sema ka alivosema mtaalamu,kuwa na mtu mmoja mnaeaminiana na msaf,chumvin kuna utamu wake jaman,ka nusu pepo yan!
 
Kwa kuongeze tu, kwa wale wanaokwenda chumvini, waelewe kuwa the main purpose ni kumpa hamasa mwanamke na hii haina ulazima wa kutumia mdomo wote unapokuwa chumvini kwasabau unakuwa una play na clitoris, you can only use ulimi tu kitu ambacho kitakupunguzia risks za magonjwa.
 
Mwanzo skujua kwa nn panaitwa Chumvini, nilihic ni jina2 kumbe lina implication flani bwana. Nimejua hilo hv majuz.
 
Kwa hii mada, Mwana JF yeyote atakayeendelea kwenda chumvini ni kwa upendo wake mwenyewe.
Mwenye masikio ya kusikilia na asikie l; Mwenye macho ya kuonea na aone lakini pia Mwenye akili ya kuamulia na aamue sasa.
 
Bwana Sizinga huwa napenda sana unavyojitahidi kuwa Daktari kwa wana jf, unaonaje usomee kabisa ili nia yako nzuri ya kushauri kitabibu iweze kutimia?.

Nakupongeza sana kwa jitiada zako, pia nakushauri uwe unafanya consultations na wataalamu husika kabla ya ku post mada, au kwakuwa siku hizi unaweza ku google kila kitu kwenye mtandao fanya hivyo kwa kupata majibu mazuri. kwa mfano katika hili, ebu google vagina atlas itakwambia kila kitu kuhusu kiungo hiki cha uzazi.
 
Hii inatokana na miili kuwa ya baridi, mtu hupati joto/hamu hati wakutafunetafune, loo..!
 
Hivi kunyonya mbunye kuna madhara gani hasa kwa mke na mchumba wako
View attachment 32279

Because of growing concerns about the possibility of HIV transmission through the widespread practice of oral sex, the British Government's Department of Health set up an expert group to report back on the matter. In broad summary, their main conclusions were:

  • HIV can be transmitted by oral sex, though this does not occur frequently
  • both fellatio and cunnilingus have been known to pass it on
  • both ‘receiving' and ‘giving' fellatio have been incriminated
  • oral sex is certainly much safer HIV-wise than rectal or anal sex
  • oral sex is probably safer than vaginal intercourse
  • ulcers in the mouth could increase the risk
  • oral sex is more risky than non-penetrative sex (eg mutual masturbation, kissing, etc)
  • during fellatio, if the man avoids ejaculation, it probably reduces the risk somewhat
  • in the case of cunnilingus, there may be an increased risk of transmission if the woman is menstruating
  • there's no evidence that mouthwashes could reduce the risk of infection
  • using condoms or ‘dental dams' during oral sex could reduce the chance of infection, but not eliminate it
    [h=3]Gonorrhoea[/h] Gonorrhoea, a common STD, can be transmitted to the throat during oral sex, especially fellatio. Because of this fact, GUM clinics often take ‘throat swabs' these days. In the throat, the germ usually causes inflammation, formation of pus and sometimes soreness.

    [h=3]Syphilis[/h] The lesions of syphilis usually appear on the genitals or the anus – and very rarely on the nipple. But they do occasionally appear on the lips, as a result of oral sex.
    However, please bear in mind that in the UK syphilis has been a rarity for many years. Nevertheless, there have been one or two small outbreaks among gay males in the early 2000s, notably in Bristol and Brighton. Currently there are a little over 3,000 cases of syphilis a year in the UK.

    [h=3]Chlamydia[/h] Chlamydia trachomatis – this little genital bug has become almost epidemic among sexually active young people during the early years of the 21st century.
    It's estimated that in some parts of the UK that at least 10 per cent of younger adults have it.
    It is sometimes found in swabs taken from the throat, and it is thought that it can be transmitted by oral sex, particularly fellatio.
    Please note that if it gets established in or near the mouth or nose, it could cause various infections, particularly of the eye. In 2010, doctors warned that oral sex could cause a one-sided conjunctivitis, which does not clear up on routine treatment with eye drops.

 

Ahsante kwa link...vp lakini mkuu!! za kitambo?? usisite kunitoa kasoro bana..mi naamini ni sehemu ya kuelimishana tu and still naisubiria ile mada yako ndeeeeeeefu uliyosema unaiandaaa kwa ajili ya wanajamvi..imefikia wapi?? All the best broo!!
 
mambo yote chumvini kaka hakuna mtu kufake utamsikia tuuu am kamiiiiiing!!!!!!,ila lazima uwe mtundu flani siyo kukurupuka utaibiwaaaaa!!!
 
kila kitamu kina madhara yake, iga iga sisi yani ndo wala hatutishiki na madhara yanaayosababishwa na vitendo vya kingono

Hivi huu utumwa wa kifikra kudhani kila kitu 'kitamu' au 'kizuri' basi asili yake sio sisi na tunaiga tuu toka kwa 'wazungu' au sehemu nyingine za dunia itaisha lini? Cunnilingus haijaanza leo ati, ipo centuries na centuries...just because wenzetu (hasa waHindi) walidocument kwa maandishi na michoro haina maana hao ndio waanzilishi na sisi wagiaji tu! Kuna evidence gani kuwa sisi (waAfrica/waTanzania) tukipeana raha kwa mtindo huo basi tumeiga? Au kwa sababu hatutengenezi 'porno' tukasambaza dunia nzima basi tumeiga!

Cha muhimu ni kufuata ushauri wa kitaalam alioutoa Sizinga (Thanks) ili tusipate madhara aliyoainisha, lakini sio kusema we dont deserve that pleasure sababu tu ni kuiga!
 
Sasa mkiacha itakuweje, wengine bila hiyo kitu hatuenjoy! Kuhusu usafi ni swala muhimu na kwenu wanaume pia, some of u guys when we 'go down' tunakutana na bonge la harufu!

Nami nilisoma sehemu, kuwa our things r relatevely safe than mouthes; but we kiss all the time!
 
Mmmmh kumbe ni hatari eeeeh?nilipanga kujaribu aaah ngoja niache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…