Salaam wana Jf.Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na kila nikifanya nae mapenzi huwa naingia chumvini (namnyonya 0) tendo hilo nimelifanya kwa muda mrefu kiasi kwamba kwa sasa limeniingia yani nimekwa addicted.Nilikua nikifanya hvyo ili kumpa raha zaidi mpenz wangu huyo na kweli alikua akifurahia na kuridhika haswaaa.Kwa sasa mpenz wangu hayupo amesharudi kwao Botswana na wazaz wake.Tatizo ni kwamba ameniacha na hali ambayo nashindwa kuielewa yani kuna wakati nakua naihisi ile ladha mdomoni.Na hali hii inapokuja nakua na hamu ya hali ya juu ya kupata hiyo kitu ninyonye.Kuna rafiki kanishauri nitafute msichana msagaji (lesbian) kwa madai kuwa wanapenda huo mchezo.Sijui nifanyeje na hii hali ya kuhisi ladha ya hii kitu mdomoni bado inajitokeza mara kwa mara.Swali. Je naweza kupata madhara gani mengine zaidi ya haya ya kuhisi tu ladha mdomoni?.