Graca
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 471
- 152
Kilichonishangaza kwenye hii sredi ni kuwa, mtoa sredi kawauliza wakaka lakini bahati mbaya inachangiwa na wadada akiwemo mtoa mada mwenyewe aliyeuliza.
Tupeni nafasi basi tumjibu kama tunapata raha au nia yetu ni kuwapagawisha japo kwa kinyaakinyaa lol
olriite,tatizo wanakwepa..
haya ASPRIN niambie huwa unapata raha?