Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Minya pua then ingia mgodini,thats all!!
 
Chumvini is forbidden maana unaweza goka meno bure! ila tiGoni ruksa!

Careful, unajua sikuhizi umemwachia mzenj laptop kama vipi zichomoe zote kabla hajatoka kwenye mitini
 
ile harufu inayotoka huwa ni moja kwa wote.kuna watu walifanya risech walipoona harufu iko sawa kwa wote wakunda kampuni wakaipa jina la ZAFANANA!!!

Mhh Kumbe.... Ila huwa kuna bacteria fulani ambao ukisha wazoea kuzama chumvini itakuwa ni kama jadi vile.
 

Kaka umenigusa.Nitakutafuta ili unipe darasa zaidi
 
Chimungururu hapa naona upo juu!

Kumbe hii ilmu wengi hawakuwa nayo hivi>? I cant imagine
 
dah naona kweli umekuwa Gender sensitive!

Am a truely Gender Sensitive.Nilitaka kujua maana yeye hataki kuzama chumvini lakini inawezekana mwenzake huwa analamba koni yake halafu yeye anaona kawaida.
 
Am a truely Gender Sensitive.Nilitaka kujua maana yeye hataki kuzama chumvini lakini inawezekana mwenzake huwa analamba koni yake halafu yeye anaona kawaida.


I know I know....suala hapo ni reciprocation, lakini pia sio iwe ndo hadi akufanyie hivi ndo na wewe umfanyie vile....inategemea na mambo mengine zaidi,,

Ila kama ni kulazimisha hivyo nadhani something is seriously wrong, kabla hajala iyo chumvi ni bora wa discuss kwanza....cause naamini sio wote ni waumini wa felatio au cunnilingus
 

Chimunguru, umezikonga nyoyo za Wataalamu wa hiyo shughuli. Ukiwa na kinyaa kiasi hicho basi ni bora kabisa usifall in love au unaweza kabisa kukimbiwa na mamie mwali. Mama kishahoji kama una mapenzi ya kweli kwake. Sasa ama uweke kinyaa chako pembeni ili umtimizie ombi lake au undelee nacho na yeye achangamke na njemba wa pembeni. Kazi kwako ama usuke au unyoe.
 
hii shule imesimama! kha...
 
Duh! Hy ya bomba la DAWASCO nimeikubali mkuu
 

Mkuu lazima uwe mtaalam sana hawa wenzetu ukimkuna hasa, hutapata tabu
 
mazee you have to do all u can wee unashangaa kuzama chumvini wenzio huwa wanalamba mpaka naniii ohhh wee kalaga baho
 
Mwambie tu azingatie suala la usafi na baada ya hapo zama tu 'Uvinza' mzee, huna ujanja. Usipofanya hivyo hakika atampata mzamiaji mzuri na ndio itakuwa basi tena. Kuna mademu wanapenda mambo ya Uvinza balaa!
 


somo limeleweka kabisa
 
na akikutana na jamaa lenye kula mahindi ya kuchoma ulimi uko rafu, wewe wala chips mayai ulimi unateleza tu wallahi mwanamke lazima akudharau

Teh teh teh!! Kumbe mkuu inabidi kwanza aanze na tizi la kula mahindi ya kuchoma kabisaaa!!
 

Vipi yeye koni analamba?
 
mazee you have to do all u can wee unashangaa kuzama chumvini wenzio huwa wanalamba mpaka naniii ohhh wee kalaga baho

Nimekupata mkuu, huko nanii kunaitwa SAADANI, dunia ya sasa kuzama chumvini hadi saadani ni muhimu sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…