Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Nanukuu,
"chumvini sio kuzuri kwakweli...ile kuingia tu nikaanza kuhisi kichefuchefu! Hal ya huko ni kusafi lakini kha pamenishinda...nilihisi kutapika...si unajua mtu anayetaka kutapika jinsi anvyokuwa? Basi nikaanza 'pwaaa' mara nikajiuzuia huku mwenzangu yeye akiendelea kuguna na kuongea lugha za ajabu...ooooh nikashindwa kuchoropoka kwani alikuwa amenikamata kichwa...hali ilivyozidi kuwa mbaya kwangu nikaona isiwe taabu nika nyoosha mikono juu, ooooh punde nilitapika mpaka nikahisi nyongo kama ilitoka vile"
Amakweli chumvini sio kuzuri.....
Mwisho wa kunukuu....
Pape, mwambie huyo jamaa sifanye kitu bila kujua miiko yake! Hata wanaoenda kwa waganga kutafuta mali wanaambiwa wasivae viatu badala yake wavae kandambili. Huyo jamaa alitakuwa kujua kuwa watu waanazia kwenye msingi kabla ya kurukia paa. Usafi na detailed analysis ni muhimu sana kabla ya kufanya hicho kitu.