Nianze kwa kutoa ongera zangu za dhati kabisa kwa watu wanaingia kunako uvinza au chumvini.
Kiukwel kunataka ujasiri wa hali ya juu kukamilisha zoezi hili.
Jana nilitaka kumsuprise beby wangu
Sijawai kuingia kunako uvinza ata siku moja .
Basi tumeanza kuenda uku na kule nikaona Leo ndio nianze kuvunja mwiko nitembelee uko uvinza.
Duh ile nachungulia nianze naona kwa mbali kama vimaziwa vya mgando nikajisemea kimoyomoyo Leo nimeingia mkenge.
kiukwel mchumba ni msafi sana tu, nasijui ule mtindi ulibaki vip eneo lile, nikaamua kuacha nikazugazuga tu.
Kama kuna mzoefu atuambie ilitakiwa nifanyeje baada ya kukuta hali hii.