Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kwa sababu humu ni watu wazima na hakuna haja ya kuficha na ili tupone,kuna virus vijulikanavyo kama Human papiloma pamj na systemic according to Dr Innocent Mosha kutoka muhimbiri imebainika virus hivyo husababisha kansa ya mdomo ambayo chanzo chake hutokana na kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo yaani kunyonyana sehemu za siri iwe kwa me au ke,unaweza usione hatari yake kwa sasa ila baadae sana,tuone picha za madhara yake hapo chini.
Nahao wanawake nao yamewakuta yepi?
 
mbona hizo picha ni za wazungu tu? tupu za wabongo hazina madhara itakua, me nazama tu...
 
Wala haiko kama inavyosemwa.
Virusi hawa hupatikana kwa mtu ambaye tayari ana genes zinazo sababisha kansa, na mara nyingi ,mwanamke huambukizwa kutoka kwa mwanaume.

Hivyo mwanamke asiyejiheshimu huweza kuwapata hawa toka kwa moja ya wapenzi wake. Na hata wanawake wapofanya the same kwa partnaz wao wa kiume basi huweza kupata pia.

Jinsi inavyosemwa ni kama vile gonjwa hili wanawake ndio wanao lieneza kumbe hata hata wanaume haswaa wanao lisambaza na hivyo athari kuwarudia wao.
 
Ina raha yake hiyo kitu,lakini hafanyiwi kila mtu,na mkiwa faragha lazima mfurahishane kisawasawa sio kwakuripua,mdogo mdogo hadi mwenzio anaisikilizia..............lol

Promiseme...ww me au ke?
 
Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda
nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda

naimba tu
 
Wakati nipo chuo, roomate wangu aliwahi kupata hiyo infection. Kama mwanamke humwamini usafi wake, au kama anakaa sehemu ambayo vyoo vina mwingiliano wa watu wengi, au kama mwanamke sio mwaminifu kamwe usijali kuzama chumvini, utaadhirika.
 
Siku hzi sizami chumvini, naogopa haya madude. Chumvini unazama kwa demu wako umpendae, sio hawa wa kupooza injini.
 
Hao wana magonjwa mengine tu. Ingekuwa ni sababu ya kuzama chumvini WHO wangeshakemea kama Kisukari au Kifua Kikuu
 
maninaa km kugongewa nigogengewe tuu...makuu silambi ata uje na jambia...kuitazama tuu kwenyew smtms yataka moyo je kuilamba!!
 
hiii inawahusu saana wachepukaji....Wale wanaochepuka wanapata magonjwa ya sirini halafu ndio ukija ingia chumvini unapata na we magonjwa ya midomo...Ila naamini ukiwa wewe umsafi na mwenzio msafi, huchepuki chepuki kupata matatizo haya ni ngumu...Na unapopata fungus ni vyema kumjuza mwenzio sio kumwambia tuu aingie chumvini wkt unatatizo huko chini...Tibu kwanza ndipo muendelee



Kwa sababu humu ni watu wazima na hakuna haja ya kuficha na ili tupone,kuna virus vijulikanavyo kama Human papiloma pamj na systemic according to Dr Innocent Mosha kutoka muhimbiri imebainika virus hivyo husababisha kansa ya mdomo ambayo chanzo chake hutokana na kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo yaani kunyonyana sehemu za siri iwe kwa me au ke,unaweza usione hatari yake kwa sasa ila baadae sana,tuone picha za madhara yake hapo chini.
 
Uuupsi haya magonjwa ya kujitafutia shida

Kwani gegedo halitoshi
 
...na bado, kuna mpango wa kuhamishia ebola huko chumvini maana mnajifanya ukimwi hamuogopi kwakuwa unaua taratibu...
 
Back
Top Bottom