Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Kiukweli kiafaya haya mambo siyo mazuri. Mimi wangu aende tu huko anakopata hivyo vitu kwangu mimi ntabaki hivi hivi na ushamba wangu. Unakuta mtu domo limeungua kama vile ana saratani ya lips. Wengine unakuta ndiyo wapenda TIGO koni zao zimebabuka kama vile mshikaki uliotiwa spices.
Mungu tunusuru. Katatena uvinza wala azamu siyo issue. Fanyeni yale yanayowezekana.
Mungu tunusuru. Katatena uvinza wala azamu siyo issue. Fanyeni yale yanayowezekana.