Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

MADAM T pale nilikuwa natoa ufafanuzi nini maana hasa ya kwenda Chumvini. Na swali langu ilikuwa ni je nilazima kwenda chumvini?? mfano tunajua Codom zipo lakini ni kwa nini watu wanapenda kujamiana bila kutumia? BCC (behaviour change communication)

Kumbe! Ai em sore!
 
Jamani hapa tufundishane na je tunaowaacha wapenzi wacome mdomoni hatuathiriki kweli au badae zinaingia katika mfumo wa chakula.mambo mengine watu wakiongelea ndio unaanza kuyawazia
Sidhani kama semen au fluid ya huko (umchanganyiko wa vyote viwili) vina madhara yoteyote. Kama kuna mwenye ushahidi wa kisayansi atutoe shaka
ANECDOTE: Nimesoma mahali Cleopatra alikuwa anatumia kama facial cream kwa kurejesha ujana. Hizo fungus na matatizo mengine yanatoka na mtu kutokuwa msafi
ANGALIZO: Usafi katika koni na chumvini ni MUHIMU sana kwa afya yako hata kama si kwa kunyonywa au kulambwa. Vyenginevyo itakuwa maudhi kwa mwenzako na madhara kwa nyote.
 
Haya baba, umenichekesha eti hadi kulia utalia lol!!
Mmmmh mi nahisi kulamba hayo makitu ni mpaka mshipa wa kinyaa na kichefu chefu uwe umekatika aisee!!! Mi ka nitaachwa kwa sababu hiyo, acha tu iwe!!!!!!

Duh! kama ungeona ninavyolia na kuwa mnyonge, Lol, hata mwenye roho ngumu kiasi gani atanihurumia tu.
 
Duh! kama ungeona ninavyolia na kuwa mnyonge, Lol, hata mwenye roho ngumu kiasi gani atanihurumia tu.

MAMMAMIA plse clarify unalia kwa sababu gani? weka kitu wazi wazi.. baeleze kilio kinasababishwa na nini? kulamba au kulambwa??
 
Hakuna ulazima ila ni vizuri. Haifai kumwambia gf/bf wako akufanyie hvyo. Ni vizuri kama atafanya kwa mapenzi yake mwenyewe. Wengine wana vichefuchefu vya ajabu. Anaweza akakutapikia bure.
Nyonyaneni ila msitoane nyama.
 
MAMMAMIA plse clarify unalia kwa sababu gani? weka kitu wazi wazi.. baeleze kilio kinasababishwa na nini? kulamba au kulambwa??
Inaonesha huelewi haya maelezo yangu yalianza wapi. Kwa kusaidia rejea dondoo za rangi nyekundu hapo chini:

Mimi hilo la kulambwa koni silazimishi, anayefanya nitamshukuru kwani ninapenda sana, lakini huko unakokuita kuzama chumvini....oooooh! hiyo nitaomba, nitashawishi, ikibidi nitalia mpaka niruhusiwe. What a pleasure! Utamu wa ngoma ingia ucheze!

Haya baba, umenichekesha eti hadi kulia utalia lol!!
Mmmmh mi nahisi kulamba hayo makitu ni mpaka mshipa wa kinyaa na kichefu chefu uwe umekatika aisee!!! Mi ka nitaachwa kwa sababu hiyo, acha tu iwe!!!!!!

Duh! kama ungeona ninavyolia na kuwa mnyonge, Lol, hata mwenye roho ngumu kiasi gani atanihurumia tu.

Kwa ufupi, ninalia ili niruhusiwe kuzama chumvini. Ikiwa wewe huzami huko, hasara yako.
 
Hakuna ulazima ila ni vizuri. Haifai kumwambia gf/bf wako akufanyie hvyo. Ni vizuri kama atafanya kwa mapenzi yake mwenyewe. Wengine wana vichefuchefu vya ajabu. Anaweza akakutapikia bure.
Nyonyaneni ila msitoane nyama.[/QUOTE]

Lol! Na kweli dada, kuna wengine ukitahamaki kaondoka na kipande au kakuwachi alama za meno. Can't imagine the pain! Lakini ndio hivyo, ukitaka uzuri lazima uzurike. Utauguza ukeshapona kama kawaida.
 
wanawake watutendee haki,
watulambe koni bila kuambiwa....
 
Back
Top Bottom