Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kila kitu kina madhara kiafya tumia kwa vigezo vilivyowekwa, hata kufanya mapenzi kuna madhara kiafya kuna Ulinzi, gono, kaswende Nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja kunyonya viungo vya siri ni hatari tatizo watu waiga porn, mfano Dar wanawake wanaongoza kwa uti sugu, na mafungus, sasa huko chini kunakuwaje, mi huo ushenzi siukuubali

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo kubwa ni wanawake, Ndio wanaowasumbua wanaume wafanye hayo, Wengine huleta ugomvi mkubwa ukikataa.
 
Aisee nisipo zama chumvini najiskia kabisa sijafanya kitu,
 
Back
Top Bottom