Insiders say interest rate caps have stifled lending to insurable investment projects and assets.
Uchumi wa Kenya hutegemea sana "sector" ya Fedha baada ya "Manufacturing , tourism, transportation, and tourism", kudorora kwa kiwango kikubwa sana katika miaka ya hivi karibu.
Jinamizi la kupata hasara linalotokana na kusambaratika kwa uchumi wa Kenya, baada ya kuitafuna KQ na kuisambaratisha kabisa, baadae jinamizi hilo kuanza kuitafuna SGR na kuisababishia hasara kubwa katika kipindi cha mwaka wa kwanza tangu kuanza kwake, sasa hivi jinamizi hilo limevamia kwa nguvu sana katika " sector " ya Bima na kuisababishia hasara kubwa katika ndani ya miaka 3 mfululizo.
Hali hii ya uchumi wa Kenya kuendelea kuzorota mwaka hadi mwaka, bila Kuwepo kwa dalili yoyote ya kuimarika, ndio sababu kubwa inayosababisha makampuni Mengi ya Kenya kukimbia na kwenda kuwekeza katika nchi za jirani, ili kujihakikishia usalama wa kiuchumi ambao umekua ukiporomoka huko Kenya.