Kuzidi kudorora kwa uchumi Kenya, pato la makampuni ya Bima laanguka kwa 61%

Kuzidi kudorora kwa uchumi Kenya, pato la makampuni ya Bima laanguka kwa 61%


Uchumi wa Kenya hutegemea sana "sector" ya Fedha baada ya "Manufacturing , tourism, transportation, and tourism", kudorora kwa kiwango kikubwa sana katika miaka ya hivi karibu.

Jinamizi la kupata hasara linalotokana na kusambaratika kwa uchumi wa Kenya, baada ya kuitafuna KQ na kuisambaratisha kabisa, baadae jinamizi hilo kuanza kuitafuna SGR na kuisababishia hasara kubwa katika kipindi cha mwaka wa kwanza tangu kuanza kwake, sasa hivi jinamizi hilo limevamia kwa nguvu sana katika " sector " ya Bima na kuisababishia hasara kubwa katika ndani ya miaka 3 mfululizo.

Hali hii ya uchumi wa Kenya kuendelea kuzorota mwaka hadi mwaka, bila Kuwepo kwa dalili yoyote ya kuimarika, ndio sababu kubwa inayosababisha makampuni Mengi ya Kenya kukimbia na kwenda kuwekeza katika nchi za jirani, ili kujihakikishia usalama wa kiuchumi ambao umekua ukiporomoka huko Kenya.
kwani uchumi wa kenya unategemea bima?ile siku GDP inakua -ve ndio utasema uchumi wa kenya umeanguka
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Sidhani kama ni muhimu kwa Leo, muhimu ufahamu kwamba " Biashara ya Bima Kenya imeporomoka kwa 61%.
Yaani imeporomoka kwa 60% na bado ni mara kumi kubwa kushinda ya bongolala? Kweli bongolala ni bongolala. 😅 😅 😅
 
2018 Agriculture sector grew. 2017 ndio kulikuwa na drought. 2019 pia kuna drought agriculture itafanya vibaya this year. 2018 hamna mtu alikufa kwa njaa wala hamna msaada wa chakula uliopewa watu kwenye maeneo kame. Hio ndio maana tulifikia 6% kwa mara ya kwanza since 2011. Agriculture is 25% of Kenya's gdp kwa hivyo kama hakuna ukame tutavuna majani chai mengi, kahawa kibao, maua yatapandwa kwa wingi. Avocado yatavunwa kwa wingi. Vegetables nazo tutaexport kwa wingi. 2018 ilikuwa mwaka nzuri for Agriculture. Hata mahindi hatukuimport from Tanzania or Mexico.
Tatizo la Kenya ni kwamba "section of Agriculture sector" inayochangia hiyo 25% ya GDP ni ile inayomilikia na watu wachache matajiri wanaolima chai, maua, na mananasi, yaani sio wale wakulima wanaotengeneza 80% ya wakenya wanategemea KILIMO, kwahiyo hata kama KILIMO kikikua huko kwenu, hakuna msaada wowote kwa " peasants", itabaki ni ukuaji wa KILIMO kwa ajili ya "statistics" sio kwa kuwafikia wakulima wadogo wadogo.

Tanzania 99% ya mazao tunayouza nje ya nchi kama, pamba, kahawa, chai, Tumbaku, korosho, mahindi, mchele, matendo, vyote hutoka katika mashamba ya wakulima wadogo wadogo, kwahiyo ukisikia KILIMO kimechangia GDP by 30%, maana yake hiyo pesa yote imeenda katika mifuko ya wakulima kule vijijini, sio mifukoni mwa watu wachache wenye mashamba makubwa ya chai, maua na mananasi.
 
Yaani imeporomoka kwa 60% na bado ni mara kumi kubwa kushinda ya bongolala? Kweli bongolala ni bongolala. [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ndio sababu nikakupa ule mfano wa "Speed and Distance", kwa bahati mbaya uwezo wenu wa akili ni mdogo, sina uhakika kama unaweza kuulewa.
 
Ndio sababu nikakupa ule mfano wa "Speed and Distance", kwa bahati mbaya uwezo wenu wa akili ni mdogo, sina uhakika kama unaweza kuulewa.
Boss, Tanzania is growing from a lower base point hence might appear to be growing fast but you will slow down when you reach where Kenya is and by then Kenya will be miles ahead. It is called the normal growth curve but what do you know about Mathematics?
 
Boss, Tanzania is growing from a lower base point hence might appear to be growing fast but you will slow down when you reach where Kenya is and by then Kenya will be miles ahead. It is called the normal growth curve but what do you know about Mathematics?
Ndio sababu tunasema kwamba uwezo wenu wa kufahamu mambo ni mdogo sana, ni hiyo ndio sababu kubwa ya uchumi wenu kuporomoka.

There are two terms in Economics;

1)Economy which starts from lower base, this has got nothing to do with the economic growth rate.

2) Economy maturity; Yes,this affects growth rate of economy.

Tell me about Kenyan economy, is it matured economy?, what things make economy to be matured?
 
Back
Top Bottom