Wizara Maendeleo ya Jamii
New Member
- Apr 10, 2023
- 3
- 2
TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada.
Mwisho wa kulipa ada na kuwasilisha taarifa ni tarehe 15 Aprili, 2023. Baada ya tarehe hiyo malipo yote ya ada yatalipwa na faini.
Ada na taarifa ziwasilishwe kupitia mfumo wa nis.jamii.go.tz kwa kutumia akaunti za mashirika.
Mawasiliano: 0737569583/84