Kuzikumbusha Asasi za Kiraia (NGOs) kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada

Joined
Apr 10, 2023
Posts
3
Reaction score
2
TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI



Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada.

Mwisho wa kulipa ada na kuwasilisha taarifa ni tarehe 15 Aprili, 2023. Baada ya tarehe hiyo malipo yote ya ada yatalipwa na faini.

Ada na taarifa ziwasilishwe kupitia mfumo wa nis.jamii.go.tz kwa kutumia akaunti za mashirika.

Mawasiliano: 0737569583/84
 
Hivi Wizara mnafanya ukaguzi wa kina kweli nyie kujua hizi NGO zinafanya Yale yaliyokusudiwa humu nchini?

Au majukumu yenu ni kukusanya ada na Faini tu?

Ripoti ya Mwakyembe mmeifanyia kazi?
 
Hivi Wizara mnafanya ukaguzi wa kina kweli nyie kujua hizi NGO zinafanya Yale yaliyokusudiwa humu nchini?

Au majukumu yenu ni kukusanya ada na Faini tu?

Ripoti ya Mwakyembe mmeifanyia kazi?
Wafanyie ukaguzi saa ngapi? Wangekagua hayo nashirika yaliyotajwa mwakyembe yengekuwepo? 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…