Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
Utakua umtakii mema bwana yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Hawezi kumuuliza mama yake sababu "anammega" ...Hilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Duuh ndugu yangu mm ntaka nisolve tatzo lake tyuu na kumuulza mama yake tena duuh mbona fatiki nitapotezwaaHilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Hbr wana jf mm Nina shda moja, aloo bwana Nina dem wangu kila akinimegea ile mwishoni kumekarbia anazimia kabisa nikimwacha baada ya muda kdg hv anaznduka nikimuulza kama anajixkia vipi cjui ananidanganya cz ananiambia anajixkia poa na wala hakuzimia, oy mm nataka nimkache( nimuache) vipi huo ni ugonjwa au vipi acje nletea msala hap
Kwahyo ndo wanazimiaga;!? Wakfka hukooo?! Na mbn x wangu wa kwanza hajawah zmiaa!!? Kwanz ni maskangaga, nipe jibu bx sio kunipa infoWanawake wanatofautiana sana kufika mawenzi. Usikariri
Dah mwangu kila nikitafta namna kumuacha mwangu analia kinoma hadi washkaji wananizngua, na unavoniambia tena ukonga duuh unanichanganyaaa, naomb soln sio kunisutaaMaadam ushajua tatizo lake we endelea nae tu ila jua umeegemea mlango wa gereza la ukonga..... mlango ukifunguliwa tu paap uko ndani.
Mkuu hapo ulipoandika herufi "x" umemaanisha hefuri "s"? Yaani ulimanisha "anajisikia" (anajixki)..Hbr wana jf mm Nina shda moja, aloo bwana Nina dem wangu kila akinimegea ile mwishoni kumekarbia anazimia kabisa nikimwacha baada ya muda kdg hv anaznduka nikimuulza kama anajixkia vipi cjui ananidanganya cz ananiambia anajixkia poa na wala hakuzimia, oy mm nataka nimkache( nimuache) vipi huo ni ugonjwa au vipi acje nletea msala hap
Ni kuokoa mda man, afu mtoto mwenyew kaniambia hana tatzo km hlo cz nishawah fikiria kitu km hcho, dah mwangu ni mtamu ety kama ni coca mbn naweka kreti ndanii;!? Na vp ukishampa hyo soda anaznduka mda gn!? Cz wangu anaznduka baadae sana hadi anachelewa kurudi hm, na anakuja ananiambia acha nizimieMkuu hapo ulipoandika herufi "x" umemaanisha hefuri "s"? Yaani ulimanisha "anajisikia" (anajixki)..
Kama ni hivyo naomba kukuukiza, je, ulikosea kuandika au ulidhamiria kuandika hivyo?
Kama ulidhamiria naomba kukuuliza je, lengo lako lilikua nini? Je ni kuokoa muda kwa kupunguza idadi ya herufi?
Nikirudi kwenye mada yako naomba nikuulize huyo demu wako ana matatizo ya pressure?
Mi nilikutana na demu flani katikati ya machezo alikata network ghafla. Akawa anahema juujuu nikimuuliza haongei chochote.
Nikamstua mgoni mwenzangu ambaye ni Dr. Alipokuja kumchek akasema ni pressure na akagundua ni yakushuka (sina uhakika kama ilisema ya kushuka au kupanda). Ila nilinunua soda Coca-Cola akanywa akarudi ktk hali yake. Baadae akakiri kuwa anatatizo la pressure. So ikawa kila akija geto naandaa Coca-Cola moja au mbili then tunapiga show.
Kuna siku hatazinduka kabisa
Anaznduka baada ya muda flan hv ila kwa kuchelewawe wa kwako hua anafanyaje?