Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
Habari wana JF,
Mimi shida yangu moja, nina msichana wangu, kila nikishiliki nae tendo ile mwishoni kumekaribia anazimia kabisa nikimuacha baada ya muda kidogo hivi anazinduka, nikimuuliza kama anajisikia vipi sijui ananidanganya, sababu ananiambia anajisikia poa na wala hakuzimia.
Mimi nataka nimkache( nimuache).
Vipi huo ni ugonjwa au vipi asije nletea msala hapa.