Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
- Thread starter
-
- #21
Dahhh sio kwa kukata moto huko hata kam ni rahaaWe kaza nae tu hilo si tatizo hiyo laha anayo jisikia ndo mana mpaka kukata moto
Anaznduka baada ya muda flan hv ila kwa kuchelewa
unadhani ni raha inakua imepitiliza kipimo?Mpunguzie mapigo anaweza akapitiliza
Nope just speak what u've got lazma itaeleweka tyuu am not such younger dahhh!!!!?!Too young to understand
Vumilia nihali ya kawaida mkuuDahhh sio kwa kukata moto huko hata kam ni rahaa
Inawezekanaaaa!????? Kumbuka spidi ya cha mwishoooMpunguzie mapigo anaweza akapitiliza
Unamtega ujueHilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Kwa uandishi huu...!Kwahyo ndo wanazimiaga;!? Wakfka hukooo?! Na mbn x wangu wa kwanza hajawah zmiaa!!? Kwanz ni maskangaga, nipe jibu bx sio kunipa info
Hahahahaha dah ndugu yangu hapo pagumu atr afu ndo kwnz bd malengo yetu duuh pagumu aise nitaenda ukonga mda c mrefu baada ya kumwambia hvo,, hahahaUnamtega ujue
Imefanyajee!??? Mbn inaeleweka mdau!!?Kwa uandishi huu...!
HahahahHilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Na akipitiliza c ndo miaka kam yote segerea au hata ICC huko c bora nimkacheVumilia nihali ya kawaida mkuu
Unaelewa unavyo ambiwa "wanatofautiana" lakini? Usimfananishe X wako na huyu wa sasaKwahyo ndo wanazimiaga;!? Wakfka hukooo?! Na mbn x wangu wa kwanza hajawah zmiaa!!? Kwanz ni maskangaga, nipe jibu bx sio kunipa info
Duuuh skendo hzo yani duuh mpk unamtoa geto mpk kwny taxi duuh bora niokoke aiseunadhani ni raha inakua imepitiliza kipimo?
kuna jamaa yangu wa kwake alizima na baada ya muda miguu ikaanza kupoteza joto...
kilicho tokea baada ya hapo siwezi sema ila mwisho wa stor ni kuwa kuna mama muuguzi mmoja ndie aliye saidia binti kuzinduka (hapo dr wa kiume amesha mpiga drip za kutosha bila mafanikio yoyote)
alicho fanya huyo mama ni kumvua blauz aliokua amevaa na kuanza kufinya finya chuchu kwa namna anayo ijua yeye baadae akamkandamiza kwenye diaphragm sijui ndo mnaita chemba moyo yenyewe binti akazinduka.
itaendelea baadae........
Mkuu, kumbe Coca-Cola inasaidia kwa mtu mwenye Pressure? Au soda yoyote tu?Mkuu hapo ulipoandika herufi "x" umemaanisha hefuri "s"? Yaani ulimanisha "anajisikia" (anajixki)..
Kama ni hivyo naomba kukuukiza, je, ulikosea kuandika au ulidhamiria kuandika hivyo?
Kama ulidhamiria naomba kukuuliza je, lengo lako lilikua nini? Je ni kuokoa muda kwa kupunguza idadi ya herufi?
Nikirudi kwenye mada yako naomba nikuulize huyo demu wako ana matatizo ya pressure?
Mi nilikutana na demu flani katikati ya machezo alikata network ghafla. Akawa anahema juujuu nikimuuliza haongei chochote.
Nikamstua mgoni mwenzangu ambaye ni Dr. Alipokuja kumchek akasema ni pressure na akagundua ni yakushuka (sina uhakika kama ilisema ya kushuka au kupanda). Ila nilinunua soda Coca-Cola akanywa akarudi ktk hali yake. Baadae akakiri kuwa anatatizo la pressure. So ikawa kila akija geto naandaa Coca-Cola moja au mbili then tunapiga show.
Anhaaa nilielewa vibaya mdau cz wananiambia maswala ya ukonga hapaUnaelewa unavyo ambiwa "wanatofautiana" lakini? Usimfananishe X wako na huyu wa sasa
Kuna bi mkubwa wa mdau wangu yeye ana tatzo la kuzma anapewaga fantaMkuu, kumbe Coca-Cola inasaidia kwa mtu mwenye Pressure? Au soda yoyote tu?
We jamaa umenichekesha mbele za wakwe. Nimeulizwa mbona nimekauka mbavu nimeshindwa kujibu. Navuta fegi nje sasa hivi wala sijaegemea mlango wa kwa wakwe.Maadam ushajua tatizo lake we endelea nae tu ila jua umeegemea mlango wa gereza la ukonga..... mlango ukifunguliwa tu paap uko ndani.
nimecheka .......Maadam ushajua tatizo lake we endelea nae tu ila jua umeegemea mlango wa gereza la ukonga..... mlango ukifunguliwa tu paap uko ndani.