Kuzimia baada ya kufanya tendo la ndoa

Kuzimia baada ya kufanya tendo la ndoa

Mpunguzie mapigo anaweza akapitiliza
unadhani ni raha inakua imepitiliza kipimo?

kuna jamaa yangu wa kwake alizima na baada ya muda miguu ikaanza kupoteza joto...

kilicho tokea baada ya hapo siwezi sema ila mwisho wa stor ni kuwa kuna mama muuguzi mmoja ndie aliye saidia binti kuzinduka (hapo dr wa kiume amesha mpiga drip za kutosha bila mafanikio yoyote)

alicho fanya huyo mama ni kumvua blauz aliokua amevaa na kuanza kufinya finya chuchu kwa namna anayo ijua yeye baadae akamkandamiza kwenye diaphragm sijui ndo mnaita chemba moyo yenyewe binti akazinduka.

itaendelea baadae........
 
Kwahyo ndo wanazimiaga;!? Wakfka hukooo?! Na mbn x wangu wa kwanza hajawah zmiaa!!? Kwanz ni maskangaga, nipe jibu bx sio kunipa info
Unaelewa unavyo ambiwa "wanatofautiana" lakini? Usimfananishe X wako na huyu wa sasa
 
unadhani ni raha inakua imepitiliza kipimo?

kuna jamaa yangu wa kwake alizima na baada ya muda miguu ikaanza kupoteza joto...

kilicho tokea baada ya hapo siwezi sema ila mwisho wa stor ni kuwa kuna mama muuguzi mmoja ndie aliye saidia binti kuzinduka (hapo dr wa kiume amesha mpiga drip za kutosha bila mafanikio yoyote)

alicho fanya huyo mama ni kumvua blauz aliokua amevaa na kuanza kufinya finya chuchu kwa namna anayo ijua yeye baadae akamkandamiza kwenye diaphragm sijui ndo mnaita chemba moyo yenyewe binti akazinduka.

itaendelea baadae........
Duuuh skendo hzo yani duuh mpk unamtoa geto mpk kwny taxi duuh bora niokoke aise
 
Mkuu hapo ulipoandika herufi "x" umemaanisha hefuri "s"? Yaani ulimanisha "anajisikia" (anajixki)..
Kama ni hivyo naomba kukuukiza, je, ulikosea kuandika au ulidhamiria kuandika hivyo?
Kama ulidhamiria naomba kukuuliza je, lengo lako lilikua nini? Je ni kuokoa muda kwa kupunguza idadi ya herufi?

Nikirudi kwenye mada yako naomba nikuulize huyo demu wako ana matatizo ya pressure?
Mi nilikutana na demu flani katikati ya machezo alikata network ghafla. Akawa anahema juujuu nikimuuliza haongei chochote.

Nikamstua mgoni mwenzangu ambaye ni Dr. Alipokuja kumchek akasema ni pressure na akagundua ni yakushuka (sina uhakika kama ilisema ya kushuka au kupanda). Ila nilinunua soda Coca-Cola akanywa akarudi ktk hali yake. Baadae akakiri kuwa anatatizo la pressure. So ikawa kila akija geto naandaa Coca-Cola moja au mbili then tunapiga show.
Mkuu, kumbe Coca-Cola inasaidia kwa mtu mwenye Pressure? Au soda yoyote tu?
 
Maadam ushajua tatizo lake we endelea nae tu ila jua umeegemea mlango wa gereza la ukonga..... mlango ukifunguliwa tu paap uko ndani.
We jamaa umenichekesha mbele za wakwe. Nimeulizwa mbona nimekauka mbavu nimeshindwa kujibu. Navuta fegi nje sasa hivi wala sijaegemea mlango wa kwa wakwe.
 
Nendeni pamoja kwa daktari atawasaidia na tatizo hilo
 
Back
Top Bottom