Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
- Thread starter
-
- #41
Hahahahaha mwnyew huyu jamaa kaniacha hoi utaachaje kucheka post ya mtu kachanganyikiwaWe jamaa umenichekesha mbele za wakwe. Nimeulizwa mbona nimekauka mbavu nimeshindwa kujibu. Navuta fegi nje sasa hivi wala sijaegemea mlango wa kwa wakwe.
Dogo binafsi unaniboa namna unavyoandika ujumbe wako, kwanini vijana mnakuwa lazy hata kuandika, sisi wengine tungependa kuona unaandika jumbe iliokamilika sio kujiandikia Coz ukiaminii wote tutakuelewa, Umekalia Kuti kavu, mpeleke kwa Daktari huyo binti akapimwe, siku akikufia utakwenda gerezani bila kutarajia, mna umri gani wewe na yeye ?.Anaznduka baada ya muda flan hv ila kwa kuchelewa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli kabisa siku akifa mazima ajiandae kwenda jelaMaadam ushajua tatizo lake we endelea nae tu ila jua umeegemea mlango wa gereza la ukonga..... mlango ukifunguliwa tu paap uko ndani.
Nilimshauri anagoma kbsa kwamb hawez kwenda. Cz atashndwa kueleza na hatak nikaeleze mm, aloo mm naokoka bwana kwanz kdg bi mkubwa anisanukieNendeni pamoja kwa daktari atawasaidia na tatizo hilo
Sorry for this bro nimeipata nishalirekebisha,, Ana 19 mm Nina 21Dogo binafsi unaniboa namna unavyoandika ujumbe wako, kwanini vijana mnakuwa lazy hata kuandika, sisi wengine tungependa kuona unaandika jumbe iliokamilika sio kujiandikia Coz ukiaminii wote tutakuelewa, Umekalia Kuti kavu, mpeleke kwa Daktari huyo binti akapimwe, siku akikufia utakwenda gerezani bila kutarajia, mna umri gani wewe na yeye ?.
Unataka uniletee kesi wewe,!?Nitumie namba yake mkuu nimuulize
Sio kwa ubaya mkuu bali kupata maelezo yake ya awali kama ww ulivyotoa maelezo yako ili nipate pakuanzia na kujua kiini cha tatizo mkuuUnataka uniletee kesi wewe,!?
Naelewa hilo ila ipo hivi mwenyewe nimeomba huu ushauri huku hajui nilimshauri haoneshi ushirikiano kwamba hilo ni tatzo angeonyesha ushirikiano kwamba hlo ni tatzo ningezitoa apate ushauri Bt anasema haendi check ups,,, ila bro usihangaike, kuna maamuzi ya busara ya kumuachaSio kwa ubaya mkuu bali kupata maelezo yake ya awali kama ww ulivyotoa maelezo yako ili nipate pakuanzia na kujua kiini cha tatizo mkuu
Mpeleke kwa Madaktari akapimwe, usilete ubishoo hapo, mtu anapozimia huwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kupitiliza hasa pale ambapo mnakuwa hamjui nini tatizo lake, kama ni Moyo ana hatari kubwa zaidi.Sorry for this bro nimeipata nishalirekebisha,, Ana 19 mm Nina 21
Huyo ni saizi yangu! Mlete huku kwangu!!!Habari wana JF,
Mimi Nina shida moja, Nina msichana wangu, kila akinimegea ile mwishoni kumekaribia anazimia kabisa. Nikimuacha baada ya muda kidogo hivi anazinduka, nikimuuliza kama anajisikia vipi cjui ananidanganya, sababu ananiambia anajisikia poa na wala hakuzimia.
Mimi nataka nimkache( nimuache).
Vipi huo ni ugonjwa au vipi asije nletea msala hapa.
Inakuwaje mtoto wa kiume unaandika "tyuu" badala ya "tu", x badala ya s?Imefanyajee!??? Mbn inaeleweka mdau!!?
Aya Mr kumbe ndicho ulichokionaa!!Inakuwaje mtoto wa kiume unaandika "tyuu" badala ya "tu", x badala ya s?
Naelewa hilo ila ipo hivi mwenyewe nimeomba huu ushauri huku hajui nilimshauri haoneshi ushirikiano kwamba hilo ni tatzo angeonyesha ushirikiano kwamba hlo ni tatzo ningezitoa apate ushauri Bt anasema haendi check ups,,, ila bro usihangaike, kuna maamuzi ya busara ya kumuacha
Greencity usishangae, nimekuona nikiona mara kwa mara watu wanaandika tyuu badala ya tu, sijui wana nia gani na lugha yetu hawa kizazi ch sasa !!Inakuwaje mtoto wa kiume unaandika "tyuu" badala ya "tu", x badala ya s?
Tobaaa... umenifurahisha sanaHilo Tatizo lake umewahi kumuuliza mama yake?
Ngoja nikimwita geto lazima atatokea afu nimpange then ntakurudia bro la sivyo ni ngumu kutoa namba aiseMkuu utakua hujamtendea haki.imagine angekua ndio bint yako anaachika kwa tatizo hilo bila kufanyiwa kiini cha tatizo ungejisikije mkuu
Ngoja nikimwita geto lazima atatokea afu nimpange then ntakurudia bro la sivyo ni ngumu kutoa namba aiseMkuu utakua hujamtendea haki.imagine angekua ndio bint yako anaachika kwa tatizo hilo bila kufanyiwa kiini cha tatizo ungejisikije mkuu