Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
- Thread starter
- #41
Hahahahaha mwnyew huyu jamaa kaniacha hoi utaachaje kucheka post ya mtu kachanganyikiwaWe jamaa umenichekesha mbele za wakwe. Nimeulizwa mbona nimekauka mbavu nimeshindwa kujibu. Navuta fegi nje sasa hivi wala sijaegemea mlango wa kwa wakwe.